Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Shida inakuja kuwa hivi huyo cunha Huna uhakika Kama kiwango chake cha msimu uliopita ataleta msimu huu mpya kwa mbeumo yule ni mzuri ana consistency bado mnavuja katikati ya uwanja nyuma pia hamko vizuri pia hata muundo wa uchezaji wenu hauwafanyi muwe solid na ndio maana ninawaambia msiwe na matarajio makubwa mkaja kupigwa na kitu kizito mligeuze hili jukwaa lenu liwe uwanja wa kutokana matusi
 
Nyie ambao mpo vizr katikakati mmechukua makombe mangapi msimu uliopita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…