Ingia uwanjani ucheze kama ni rahisiKing faisal mkuu unaona mtu kama xavi Simmons ...kwanini wachezaji wasiwe na msimamo kama huo..kwamba Mimi nataka niende timu flani baaas...
Sasa huyo sesko naona nae mjinga tu wiki mbili huna msimamo wa wapi uende naona mchezaji wa aina hio hatufai...aende zake huko castle lager pumbavu .. naungana na msimamo wa timu kwa Sasa kama huna mapenz na timu Kaa mbali kama unataka uje ucheze unasema sio kubembelezwa
Na Cheka kwa Huruma.Wewe Writz wewee
Team haina project inayoeleweka ndio maana inakuwa ngumu sesko kufanya choice. Xavi Simons ana msimamo wa kuja Chelsea kwasababu anajua Nini anaenda kupata pale team ina ambition ya makombe lakini pia ina project nzuri ya kufanikiwa kwa muda mrefu. Tukija kwa Sesko kwa upande wangu ni mchezaji asiye jiamini hata kama project yenu haijamshawishi sana kwanini uchukue muda mrefu kwenye kufanya maamuzi as if Kama unatafuta mke wa kuoaKing faisal mkuu unaona mtu kama xavi Simmons ...kwanini wachezaji wasiwe na msimamo kama huo..kwamba Mimi nataka niende timu flani baaas...
Sasa huyo sesko naona nae mjinga tu wiki mbili huna msimamo wa wapi uende naona mchezaji wa aina hio hatufai...aende zake huko castle lager pumbavu .. naungana na msimamo wa timu kwa Sasa kama huna mapenz na timu Kaa mbali kama unataka uje ucheze unasema sio kubembelezwa
Mkuu felakuti ni kweli unachosema, sababu sesko ni kama sometimes ni childish. Ndioo maana Netflix arsenal walimtema sababu hakua akionyesha jitihada kutaka kuja kwao. Lakini Manchester United tunahitaji striker na sesko ndio yupo kwenye radar zetu, ni kweli kabisa kama kuongea na familia yake na watu wake wa karibu haikupaswa kuchukua mda sababu techonolojia pia ipo angekua ameshamaliza mapema hilo suala.King faisal mkuu unaona mtu kama xavi Simmons ...kwanini wachezaji wasiwe na msimamo kama huo..kwamba Mimi nataka niende timu flani baaas...
Sasa huyo sesko naona nae mjinga tu wiki mbili huna msimamo wa wapi uende naona mchezaji wa aina hio hatufai...aende zake huko castle lager pumbavu .. naungana na msimamo wa timu kwa Sasa kama huna mapenz na timu Kaa mbali kama unataka uje ucheze unasema sio kubembelezwa
Ni mchezaji mzuri sema ni childish.Huyu Sesko mbona ni kama overrated
Ni kweli sesko ana kautoto.Team haina project inayoeleweka ndio maana inakuwa ngumu sesko kufanya choice. Xavi Simons ana msimamo wa kuja Chelsea kwasababu anajua Nini anaenda kupata pale team ina ambition ya makombe lakini pia ina project nzuri ya kufanikiwa kwa muda mrefu. Tukija kwa Sesko kwa upande wangu ni mchezaji asiye jiamini hata kama project yenu haijamshawishi sana kwanini uchukue muda mrefu kwenye kufanya maamuzi as if Kama unatafuta mke wa kuoa
Wachezaji waoga huwa mara nyingi hawafanikiwiNi kweli sesko ana kautoto.
Sesko sio mzuri kivile, Kama mchezaji kwenye ligi Kama bundasliga anafunga goal 13 alafu wanatoa pound 80m timo Werner Katia kamba goal 25 angalia alivyokuja EPL Nini kimetokeaWazee mko serious SESKO ni usajili mzuri. Ila tuongezeeni angalau pesa kidogo kwa MOUNT mashine ya assist kwa Sesko. Acheni ubahili basi
Mmetufanyia uhuni mkishirikiana na kipara shaolin monki (ten hag). Kwa kutupa kituko mount, Hivyo Kuweni na shukrani sababu tumewapa garnacho.Wazee mko serious SESKO ni usajili mzuri. Ila tuongezeeni angalau pesa kidogo kwa MOUNT mashine ya assist kwa Sesko. Acheni ubahili basi
Huo ni mtazamo wako sikatai, lakini tujipe mda na tuone.Sesko sio mzuri kivile, Kama mchezaji kwenye ligi Kama bundasliga anafunga goal 13 alafu wanatoa pound 80m timo Werner Katia kamba goal 25 angalia alivyokuja EPL Nini kimetokea