[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyo Madueke Fc ukweli mtupu kaongea ila kazingua hapo mwisho aliposema:Dah umeongea ukweli mtupu kiongozi.
GGMU[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyo Madueke Fc ukweli mtupu kaongea ila kazingua hapo mwisho aliposema:
"Kati ya timu siichukii ila naiwazia mabaya kinoma ni Manchester united."View attachment 3419697
Lazima aseme hivyo sababu ya zile goli 8 huwa zinawauma sana😁[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyo Madueke Fc ukweli mtupu kaongea ila kazingua hapo mwisho aliposema:
"Kati ya timu siichukii ila naiwazia mabaya kinoma ni Manchester united."View attachment 3419697
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sio timu ni kikundi cha waimba Reggae, sio umeona mwenyewe first eleven yote ni marastafarians.Hii ni timu kweli?
Hamuuzi mnanunua tu mbuzi kweli kweli mnashindana na chelsea hamuiwezi ile 😂😂😂Bei kichaa ile na mbaya zaidi ffp inatumaliza
Kwaio Casimiro mmemrudisha umri nyuma?Sir Jim " tunajenga uwanja wa 100,000 attendance, hii itatupa mapato zaidi kwenye viingilio kuliko timu yoyote england na itafanya tuweze kusajili Kwa nguvu kubwa sokoni, hii mashabiki katika mwanzo wake hawawezi kuelewa lakini ni project ambayo italipa na sisemi inazuia sisi kusajili, hapana lakini inatupa njia ya nini tufanye."
Cunha na mbeumo...tupate striker, GK na middle Moja....top four uhakika....timu ipo vizuri, naamini project ya 2028 kuchukua EPL hii inalipa na viongozi mipango wanayo.
Nishawambia labda mshinde kwa magoli ya kona, tofauti na hapo mtake msitake. Tutawashenyenta tu.Kwaio Casimiro mmemrudisha umri nyuma?
Bruno amewahakikishia atacheza mpira na sio kulalamika ovyo uwanjani kama yatima?
Dalot amesema atacheza kama marcelo?
Mount amewaahidi sasa hivi atajikaza?
Maguire atarudu yule wa kipindi yupo Leicester city?
Yolo ndio kama saliba wenu?
Ugarte kama ngolo kante wenu au sio?
Nyumbu kuweni serious brand yenu na takataka mlizokuwa nazo sijui wapi mmekosea.
Hatutaki lawama fanyeni usajiri wa maana
View attachment 3421528
3+ goals hii ndio itakua standard yetu kwa kila game. Tena hapo timu ijikaze kweliNishawambia labda mshinde kwa magoli ya kona, tofauti na hapo mtake msitake. Tutawashenyenta tu.
Kwa usajili wa noni madueke,zubimendi na gyokeres ndio tuwaogope hivi mashabiki wa arsenal Netflix vituko vyenu vitaisha lini3+ goals hii ndio itakua standard yetu kwa kila game. Tena hapo timu ijikaze kweli
Unamuonaje Carlos baleba kama CDM, maana kwa striker naona ni Benjamin sesko tu na tayari keshasema anaitaka man united.Sir Jim " tunajenga uwanja wa 100,000 attendance, hii itatupa mapato zaidi kwenye viingilio kuliko timu yoyote england na itafanya tuweze kusajili Kwa nguvu kubwa sokoni, hii mashabiki katika mwanzo wake hawawezi kuelewa lakini ni project ambayo italipa na sisemi inazuia sisi kusajili, hapana lakini inatupa njia ya nini tufanye."
Cunha na mbeumo...tupate striker, GK na middle Moja....top four uhakika....timu ipo vizuri, naamini project ya 2028 kuchukua EPL hii inalipa na viongozi mipango wanayo.
Tafuteni kipa na muimalishe safu ya ulinzi. Hatutaki lawamaKwa usajili wa noni madueke,zubimendi na gyokeres ndio tuwaogope hivi mashabiki wa arsenal Netflix vituko vyenu vitaisha lini
Baleba Yuko sawa lakini naona kocha anamtaka hojlmund wa sporting Lisbon, pia baleba wale Brighton kwenye biashara Wana bei za juu tusubrie...sesko ndio amebakia sokoni naona anafaa huwezi mlinganisha na hojlund...Unamuonaje Carlos baleba kama CDM, maana kwa striker naona ni Benjamin sesko tu na tayari keshasema anaitaka man united.
Baleba Yuko sawa lakini naona kocha anamtaka hojlmund wa sporting Lisbon, pia baleba wale Brighton kwenye biashara Wana bei za juu tusubrie...sesko ndio amebakia sokoni naona anafaa huwezi mlinganisha na hojlund...
Sawa mkorea, mda utaongea.Tafuteni kipa na muimalishe safu ya ulinzi. Hatutaki lawama
View attachment 3421697