Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ila rashidi amenifurahisha sana nankunizhangaza
Bora amorim alimuona kua kwanza nidhamu ilikua mbovu, usupastaa hata mapenz na timu alikua Hana ukizingatia amekuzwa hapo, kukosa shukran na kusahau ulikotoka..
Ni mchezaji mzuri sema utoto mwingi.
 
fafanua vizury mkuu ijapokua ckatai kiungo ni wamuhimu.
Binafsi naonelea usajili wa kiungo mkabaji mzuri ni muhimu kuliko hata striker ili tuweze kupambania walau top 6 msimu utakapoanza.
Sababu kubwa ni kwamba waliopo kwenye nafasi ya kiungo mkabaji hawana consistency ya ubora kuanzia ugarte, Casemiro na yule dogo wa academy.
Kwenye nafasi ya ushambuliaji tayari tumeishafanya maboresho kiasi yanatia moyo kwa Mbeumo na Cunha.

Ili akina Maguire na Yoro wasichoke na miili yao mikubwa ile, tuwape back up ya combative midfielder halafu mengine tumuachie Mungu tu.
 
Hongereni kwa ku hijack! 😂
Ukisikia mvamiaji amevamiwa ndio hii sasa..

 
felakuti naona fabrizio kasema man u wapo seriously kwenye striker hivyo sesko yupo kwenye radar tayari, mie nimefurahi sana. Huyo gyokeres wamuache tu kwanza mpaka saivi atakua yupo na frustration.
Bora hata kaasajiliwa huko aende tu..ila ubingwa watausikia kwenye Bomba...
Naona leo timu yetu imetema watu zaidi ya wanne kwa mpigo...kwa lugha nyingine hawaitajiki...tupa kule
 
Tiyari ashasinya nyie endeleeni kupambana na hojlund Teka la boli au km vipi tupeni hela tuwape mtaalamu Nicolas Jackson 😂
 
CHELSEA signed DELAP from relegation, took him to 4th and gave him FIFA CWC trophy

ARSENAL signed NORRGARD from 10th and took him to 2nd

MAN CITY signed AIT NOURI from 16th and took him 3rd

LIVERPOOL signed KERKEZ from 9th and took him to 1st

NEWCASTLE signed ELANGA from 7th and took him to 5th
This is what we call UPLIFTING

Now let's check OLD TAKER FC

MAN UNITED signed MBEUMO from 10th and took him down to 15th😂

Other clubs are taking players from bottom to top while MAN UNITED are taking players from top to bottom😂😂

It's safe to say MAN UNITED are taking players backward😂😂
 
José Mourinho on Viktor Gyökeres: "Gyokeres is a great player, I have no doubt about that. Now, Sporting had a way of playing that was very much based on him or adapted to him. I don't know what Hugo Viana and Rúben Amorim’s initial thinking was. But he’s a player with great potential.

"Obviously, in England, he will be playing against stronger teams and better players."

[Canal 11]
 
Sie tumchukue Olie Watkins wa Aston villa...me naona amorin anafanya poa kuchukua wachezaji EPL.
kipa pia tunamchukua de gea au Martinez wa Aston villa...na hizi sajili naona zitawahi sana kidogo itasumbua ya Watkins
 
Ni kweli lakin ngoja tujipe mda tuone itakavyokua namini clu watalifanyia kazi hizi nafasi muhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…