Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Niraishangaa sana Manchester united kama hawata vuta mpunga wa Bruno.

Waarabu wapo tayari kutoa 100 million usd kwaajili ya kumsajili Bruno ambaye anakimbilia miaka 31.

Bruno ni mchezaji mzuri sana lakini kwa kiwango cha fedha ambazo Waarabu wapo tayari kuzitoa utakuwa ni ujinga wa kiwango cha juu kupitiliza.

Ukitazama uchezaji wa Bruno msimu huu kilizidi kipanda sana ingawa team haikufanya vizuri.Kwa kawaida kadri miaka inavyozidi kusonga mbele kiwango kinashuka.

100 million usd tunaweza kupata wachezaji 2 au 3 vijana wa kiwango cha juu sana.

Iwapo Man itambakiza Bruno ni hakika hii team itachukua miongo mingi kurejea katka soka la ushindani.
 
Daah. Siyo poa. Ikibidi auzwe basi msimuachie aende mbali. Tupeni sisi Gunners ila msitugonge bei sana.
 
Timu haisukwi kama pakacha la kubebea papai.
Nipe misimu miwili alafu njoo tena hapa.
Kwa sasa endeleeni kutamba na vichupi vyenu, me nawaangalieni tu.
Huu mwaka wa 5 mnasema hvyo ...hata mlivyokuwa na tapeli 10hag si mlitamba hivyohvyo....mkianza Msimu mpya mnatimua kocha Tena mnaanza upya 🀣
 
Fedha ya mumuuza Bruno inaweza kusajili wachezaji wawili wakali.
 
Bruno yupo kwenye mtego mkubwa sana


Nadhan kocha anataka amtoe ila bruno anapenda abaki

Ameahidiwa pesa kubwa sana atakuwa mchezaji anayelipwa zaidi duniani

Ila wenzetu wanajali sana familia ikikaataa familia haondoki

Km manchester united inamzunguka bruno nahisi anaweza pata hasira akajiunga na.bayern
 
πŸ—£οΈ David Beckham on the players' behavior during the post-season tour:

"I don't like seeing what's happening at the club. It's true that it's the pitch that matters, but I see a lot of things that are not acceptable to me as a fan and a lover of Man United. You have to represent the crest. I've seen a lot of things where players didn't act in the right way.

We understood what it meant to play for Manchester United. We understood what the badge meant.

Everywhere we traveled, whether in Europe or Asia, we respected the fans. We respected the fact that they came and paid money to see us, to get an autograph or to take pictures. You have to respect

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π‘π€πŸ‡΅πŸ‡Ή
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨π“€ƒ
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™βž©
#π™‚π™‚π™ˆπ™πŸ’ͺ🏿😢


𝐌𝐚𝐧 𝐔𝐭𝐝 |that."
 
πŸŒ– Daily Telegraph:

Sheikh Jassim and his entourage have not given up hope of owning Manchester United. They still believe the opportunity will present itself once again.

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π‘π€πŸ‡΅πŸ‡Ή
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨π“€ƒ
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™βž©
#π™‚π™‚π™ˆπ™πŸ’ͺ🏿😢


𝐌𝐚𝐧 𝐔𝐭𝐝 |
 
🚨 OFFICIAL: Matheus Cunha joins Man United on five year deal plus one year option from Wolves.

All documents signed after Β£62.5m release clause has been triggered earlier this week.

First signing of the summer for Man utd.


#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π‘π€πŸ‡΅πŸ‡Ή
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨π“€ƒ
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™βž©
#π™‚π™‚π™ˆπ™πŸ’ͺ🏿😢


𝐌𝐚𝐧 𝐔𝐭𝐝 |
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…