Cherecheche
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 4,742
- 9,046
Nilikuwa nimempa villa hawa nyumbu wakakaza.Hahahaha uliwabetia, wewe ni takataka kwelii
Hii kikundi inability ishushwe jarada unaona wanaume nasikia tumeshinda huko yani similar ubingwa musimu ujao tunaondoka na ndoo Tatu kubwq, epl uefa na europa, Sasa nyie mambanga munategemea kubeba nini hahahahaha aise nyie ndio manjesta bwana hahahahaha
Tutaona msimu ujao siyo mbali, tunachotaka ni progress hata tukimaliza wa kumi next season.Hahaha Sasa timu gani itanunua wachezaji wenu hahaha hii manjesta labda hata maji maji fc inaweza kumaliza juu yenu kwannza mumebakiza mechi ngap nyie matakataka 😂😂😂😂😂
One season wonderWakati Manchester United ikiangukia patupu msimu huu, kiungo waliyemuuza kwenda Napoli msimu uliopita, Scott McTominay ametangazwa kuwa mchezaji bora wa msimu huu wa Ligi Kuu ya Italia (Serie A) baada ya kuisaidia Napoli kutwaa ubingwa wa Serie A 2024/25.
McTominay ametwaa tuzo hiyo baada ya kufunga magoli 12 na kusaidia 'assist' mengine manne katika mechi 34 alizowachezea Mabingwa hao mara nne wa Serie A.
#sportsupdate
Yaani ndani ya msimu mmoja mbebe Uefa na Europa?
Mtatisha sana ndugu yangu OllaChuga Oc nenda kawatambie kabisa Liverpool kwenye jukwaa lao, tena waambie hilo kombe la Epl mmewapa tu wawashikie kwa muda, msimu ujao watalirudisha wenyewe kwa The Blues.
Pamoja na nyumbu kuvurunda sana msimu huu ila mashine tuliyowauzia MOUNT imeonekana inapiga kazi. Tuongezeeni angalau pesa kidogo kwake. Acheni ubahili basi.
Huyu ni Allypipi akishamaliza kufanya prediction anavaa sketi yake anaanza kukata mauno
Wakati mwingine upunguze upumbavu na ushabiki maandazi. "Haina maana yoyote kwetu" kwetu wewe na nani? Sio kila mtu ni kapuku kama wewe na timu yako,,Kuweka logo ya hicho kikuku mbele ya sura ya mtu haina maana yoyote kwetu. Hiyo pesa ya kumnunulia ni Manyumbu na Chelkenge ndio wenye uwezo wa kuitoa. Liverpool wana Szobo na Macca tayari so hawatajihangaisha na huyu.
Liver mlitoa 100M kwaajili ya Nunez. Mchezaji ambaye ni nyinyi tu mlikua mnamtaka.
Aje simba tu atashineRasmus Højlund is the 76th highest goal scorer in the Premier League this season with 4 goals. He is Manchester United's main striker…. #MUFC
Toeni 200 mil hivi muweze kuvutia kiungo atakeyekubali kuchezea timu iliyomaliza nafasi ya 15 na GD ya -10. La sivyo tegemeeni hao hao au mbarikiwe kupata mchezaji mkali ila hajulikani halafu afanye maajabu.Hivi kuna tetesi ya kusajili kiungo mwingine wa kukaba au tunaenda na Case na Ugarte kama kawaida yetu?