Bachelor OG
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 1,196
- 1,463
Jamaa ana kitu tatizo hajapata wachezaji wakeWakisema wamfukuze mie ndio bye byekabisa na hii timu.
Jamaa Ana kitu unaona kabisa.Jamaa ana kitu tatizo hajapata wachezaji wake
Ten hag alilaumiwa kwa kutokuwa na style ya uchezaji
Ole aliondolewa kwa kucheza Old football
Sasa kidogo Amorin kakomaa na back three yake
Kuna mambo nje ya mpira myaweke Sawa nadhani,Alafu Timu iachwe ijengwe sio inajazwa kama Madrid wakati uwezo WakawaidaMan united mbona tunachelewa kusajili hivi shida Huwa ni nini??
Na kwanini tunasajili wachezaji wazuri lkn wakija wanakuwa wabovu, shida nini??
Na makocha wakija wanafeli japo wanakuwa makocha Bora kabla yakuja kwetu??
Yaani nje ya mabosi ineos na glazer nini tatizo?? Make me siamini wanasababisha wachezaji washindwe kupiga hata pass.
TATIZO NI NINI???
naombeni Kila mtu atoe maoni yake wakuu
Wanyonge wa ligi mmekaa zenu kimyaaaaa mkituangalia wenzenu jinsi tunaenjoy.
View attachment 3345281
Inachofanya united kwa Avl ni roho mbaya tu akose kwenda Ufcl
Hahaha Sasa timu gani itanunua wachezaji wenu hahaha hii manjesta labda hata maji maji fc inaweza kumaliza juu yenu kwannza mumebakiza mechi ngap nyie matakataka πππππBora msimu imekwisha. Uza baadhi ya wachezaji tupate pesa tununue wengine, watu kama kina Rashford, Garnacho, Malacia nk ni wa kuuza. Babu Erksen atembee na vikongwe vingine vyote viondoke hata Free.
Flano si unamuona mshikaji wako huyu? Eti leo anauliza mmebakiza mechi ngapi ππMumebakiza mechi ngapi nyie matakataka, munatakiwa mushuke daraja hahHahaha haha aise hakuna raha napata kama hiki kikundi cha wahuni kikipitia msoto π€£π€£π€£π€£
Hahahaha uliwabetia, wewe ni takataka kweliiLeo mumechana mkeka wangu nyie ngedere
Mkuuu nimeona bwana kumbe musimu umeishakwishaa daaah nimecheki laivu skoo hapa ..kumbe sisi ni noma, wewe huyiogopi Chelsea ππππFlano si unamuona mshikaji wako huyu? Eti leo anauliza mmebakiza mechi ngapi ππ