Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwahyo Nyumbu Mlikua mnadhani mtabeba kombe? Baada ya kufungwa na Villarreal fainali ya Europa De gea Alisema hii timu ni km Ina laaana

ALIKUA SAHIHI
 
Uvivu saa zingine haulipi.

Kila siku mnatuona wenzenu tunavyopambania ubingwa na tukiukosa tunasikitika na angalau twajifuta nyuso kuwa angalau tumeingia UCL, nyie mnatuona wajinga na kujiona wajanja kwa kujipigia vitimu vidogo vya Ulaya huko Europa ili muingie UCL kirahisi rahisi tu.

Haya sasa anzeni kutafuta timu za kushabikia siku za J4 mpaka J5 wakati wenzenu tunazicheki timu zetu.

Au anzeni kupenda ma Huba sijui Jua Kali mara sijui Jahazi au Gharika na vitu vingine kama hivyo maana msimu ujao utakuwa mchungu sana kwenu.

Mmepanda wenyewe, haya sasa vuneni wenyewe.
 
Inabidi tusajili wachezaji kama 10...na bajeti isipungue paundi million 500 na wachezaji huru pia tuwapambanie kama kina Jonathan David etc
 
Ushabiki naweka pembeni, man u kwa bland yenu na mahitaji ya timu ambayo inataka kupambania ubingwa,

wachezeaji wafuatao (
️) inabidi wawapishe

Tafuteni kocha

Punguzeni mdomo, kocha atakaekuja mumuache afanye kazi yake
 
Hawa wachezaji ukimpata mtu km Ancelotti anawafanya CR7 shida ni watu wanaowaongoza,angalia Al Ahly wachezaji wao wa kawaida sn lakini makocha wao wanambinu sn zakushinda makombe
Angalia Madrid walivyo urudi tena na hii hoja yako mfu
 
Nyumbu utd imebaki story tu, hii timu ilifanya dhulma nyingi sana enzi za babu ma-big G sasa ni muda wa kulipa dhulma hizo dadadek! Na bado jiandaeni kushuka daraja kabisa msimu ujao(Mark my word)
Miaka 10 bila penalty Old Trafford stadium
 
Hivi nyie....

Jumapili mtaingiza timu uwanjani ili iweje sasa? Hamna maana yoyote kwenye ligi. Mpo mpo tu hapo mmeshikilia nafasi ya timu nzuri zinazojielewa kama Preston North End na Sheffield Wednesday.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…