Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nilipokua naangalia mpira baada ya penati ya lacazete watu wakaanza kuondoka. Mimi bado nilikua nina matumaini ya comeback sababu jamaa walikua pungufu hata mainoo alivyochomoa nikamwambia mshkaji man u atapambana kupata goli 5 maana pale golini kwake kipa onana wakienda matuta hawatoboi. Faida ya kuwa na wakongwe imeonekana Bruno, maguire na casemiro waliamua kulibeba jukumu wao wenyewe
 
Hii game ya Man utd v Lyon ilikuwa classic, maana dakika 180 zimetoa goli 13!
What a match!
 
Arsenal ni wapaki bus wazuri tu ila wamebadilisha jina wakiwa kwenye hiyo mode wanajiita HARAM FOOTBALL.
Ndiyo. Tushapaki basi against city wakalalamika sana. Nadhani msimu uliopita.

Sikumbuki mwingine aliyekutana na Arsenal halafu tukapaki basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…