Acha tu mkuu, ni aibu na fedheha tunapata[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aiseee hii Man Utd yetu msimu huu imejua kutuvua nguo mashabiki wake.
Yaani hata nguvu ya kuwasimanga Arsenyau wakiambulia patupu mwisho wa msimu haipo tena.
Hakuna mkuu Man u imeoza, hata kama tutapita ila hii timu ni jangaThis is unitedView attachment 3307771
🤣🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787] leo kwa mara ya kwanza natukana humu Khumamae tupewe kombe letu kabisa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nasema tukabidhiwe tu kombe letu kabisa kisha ndio tumalizie hizo mechi 3 zilizobaki.Huko vibanda umiza Flano anataka kurusha ngumiView attachment 3307770
Tamba sana, piga kelele uwezavyo ila hali halisi ya timu yako unaijua[emoji1787][emoji1787][emoji1787] leo kwa mara ya kwanza natukana humu Khumamae tupewe kombe letu kabisa.
Hatutoboi mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nasema tukabidhiwe tu kombe letu kabisa kisha ndio tumalizie hizo mechi 3 zilizobaki.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kunywa maji kwanza mkuu, uzuri huu mchezo hua hauitaji hasira.Hii mechi ilikua ni vichaa wawili wanapigana
Mkuu mbona una hasira sana kama mshale wa kichwa umekupiga?Tamba sana, piga kelele uwezavyo ila hali halisi ya timu yako unaijua
Nico william anawasubiri
Na wametolewaIla mpira bana😃😃 kule Lazio walikuwa wanaongoza kwa uhakika kabisa eti saiz wanapumulia mashine kwenye penalty
Kwakweli kilichowakuta Lazio 😃😃 Leo watalala midomo na macho wazi
That's why I love footballNa wametolewa