Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nyumbu fans kweli timu yenu Msimu huu imewakomesha😂 ..mpk sahv mshafungwa mechi 14 aisee hii timu au usenge..na Bado kwa fixture xinazofuata Kuna kina wolves, bonamausi, Brentford, Aston villa😂😂😂
 
Wamiliki walikuwa busy na stocks zao tu huko USA, pale united Kila nafasi Inahitaji mtu wa maana. Huwezi kuwa serious na mashindano still unategemea Babu eriksen and Co. Wakati Newcastle wana sajili wakina Sandro Tonali, Bruno G, Isak, Harvey Barnes, Fabian Schar, Almiron, Gordon, Joelinton, C. Wilson, Botman, Livramento ( Hawa wachache niliotaja hakuna mchezaji wa United hata mmoja anayeweza kuwaweka benchi Hawa majamaa wazee wa kazi ambao wote Hawa wanafit kwenye playing style ya united ya counter attack na mpira wa kuminyana), Tajiri alikuwa New York anainjoi sijui mademu...
 
Nasikia mnataka kumletea ukuda Thierry Henry baada ya kuwasakama Sky sport
 
Hizi punda zimesusa uzi wao.

Ila mechi za Arsenal wanakuja kwa speed ya ngiri mkia juu kinyeo nje
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa nafasi tulizotengeneza hii game ilikua inaisha mapema sana ndani ya dakika 20 tu za mwanzo, ni vile hakuna umakini kwenye umaliziaji, yaani mpaka HT ilitakiwa tuwe tumeshinda si chini ya goli4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…