Kipindi wenzetu wanachukua Tonali and Co, sisi mgt ilikuwa inadeal na stocks zake huku ikileta viande hahah, guys this is football Inahitaji quality Ili ushindane na wenzako, Sasa wewe unapoleta watu wa hovyo matokeo yake ni hayo, angalia goals tunazofungwa zoooooote ni blunders za wachezaji wetu hahah.