Oyaaa wakuu onesheni utu basi, wakati mwingine sio busara kumsimanga ndugu yako aliye mahututi baada ya kupata ajali akiwa anaonyesha mbwembwe za kupiga dede.
Ila
allypipi miyeyusho sana, kwenye prediction zake hapa JF anaonyesha tunampiga mtu goli 3 halafu kwenye mikeka yake anatuua.