Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,542
- 81,319
Yani nyie kenge mechi inaenda half time hamja attempt hata shuti moja?
😁
garnacho & rasmus ni 🚮Kwa hizi stats mpaka sasa hivi dakika ya 34 hamna shot yoyote iwe on target au off target. Pipi angejichanganya kusema mnashinda ilikua muwe mnaogozwa mbili
Mmepakatwa na City iliyooza unapata wapi ujasiri wa kuleta mdomo hapa ? Uzeni yale matakataka yenuHii ni timu kweli? Mpaka sasa hakuna shuti lolote lile yaani on ama off, aisee inasikitisha sana.
😁 devils unchainedHuyu kocha wa Fulham ni pimbi
Bado nyie kenge wa arteta tutawashenyenta.Huyu kocha wa Fulham ni pimbi
Accuracy is the key.Kwa hizi stats mpaka sasa hivi dakika ya 34 hamna shot yoyote iwe on target au off target. Pipi angejichanganya kusema mnashinda ilikua muwe mnaogozwa mbili
Sisi sio nyie boss. Piga mpira ukiwa nanuhakika mpira unaingia golini dio ilimradi kutengeneza stats za hovyo tu.Yani nyie kenge mechi inaenda half time hamja attempt hata shuti moja?