Man inatakiwa ianze moja, mpaka onana ni wa kuondoaHatimaye tumeanza operation ondoa deadwood players.
Bado Rashford na Shaw.
One of the biggest heist in football history 🤣...nasikia yule bwana tapeli alikuwa na mgao wake hapa ...acc to bwana hamis
Kampuni iliyofanya udalali wa deals nyingi mwanae anahusikaOne of the biggest heist in football history 🤣...nasikia yule bwana tapeli alikuwa na mgao wake hapa ...acc to bwana hamis
Atasepa kilazima tu kama mwenzie Beckham sijui stam yulerashy kagoma kusepa
huyu mwamba 😁 kuchek gemu za manchester ni furaha 🤣
Wewe hauko Brighton kweli wewe?Kumuuza Garnacho ni kosa, kumuuza kwenda Chelsea ni kosa la pili. Glazers, SJR & INEOS wangese sana. Ndiyo tunahitaji ku-balance vitabu ili tusajili ila tunawauzia rivals mchezaji ambaye hana shida yoyote na club au kocha na bado ana potential!
garnacho n mchezaj wa kawaidaKumuuza Garnacho ni kosa, kumuuza kwenda Chelsea ni kosa la pili. Glazers, SJR & INEOS wangese sana. Ndiyo tunahitaji ku-balance vitabu ili tusajili ila tunawauzia rivals mchezaji ambaye hana shida yoyote na club au kocha na bado ana potential!
Kumbuka bado ana miaka 20 tu na wachezaji wengi wanakuwa peak wakifika mid 20s. Salah (Chelsea), KDB (Chelsea), Fernandes (Sampdoria), Gyökeres (Brighton), hawa wote walionekana wachezaji wa kawaida kwenye hizo timu lakini wameweza kufanya makubwa kwenye career zao mpaka sasa.garnacho n mchezaj wa kawaida
😁 ila kwa garna hapanaKumbuka bado ana miaka 20 tu na wachezaji wengi wanakuwa peak wakifika mid 20s. Salah (Chelsea), KDB (Chelsea), Fernandes (Sampdoria), Gyökeres (Brighton), hawa wote walionekana wachezaji wa kawaida kwenye hizo timu lakini wameweza kufanya makubwa kwenye career zao mpaka sasa.
Garnacho ni mchezaji mzuri wa kawaidaKumuuza Garnacho ni kosa, kumuuza kwenda Chelsea ni kosa la pili. Glazers, SJR & INEOS wangese sana. Ndiyo tunahitaji ku-balance vitabu ili tusajili ila tunawauzia rivals mchezaji ambaye hana shida yoyote na club au kocha na bado ana potential!
Nashangaa jamaa sijui kaona nini kwa yule dogo maana Hana tofauti na januzajGarnacho ni mchezaji mzuri wa kawaida