Huyu ndio mchawi wenu.Kikosi cha watoto wa bwenyenye Sir Jim barobaro boys hawa hapa.
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁
My prediction
Manchester united 4 vs Southampton 0
Tutapiga kama ngoma.
Twende nalo 💪 View attachment 3203896
Huyu anatulia hela zetu tuu.....tumempa direct win yeye anamanua matakoMnaoangalia matumaini ya Man u kushinda yapo?
Hii timu haina tofauti na WenjeHuyu anatulia hela zetu tuu.....tumempa direct win yeye anamanua matako
Wenye ana nafuu labda manaraHii timu haina tofauti na Wenje
Dk za mwishoniiiHuyu anatulia hela zetu tuu.....tumempa direct win yeye anamanua matako