Hii nadharia inawezekana ni kweli
Hiyo iko wazi. Tafuta tabiri za Pele nyingi alikua anaenda maboyaHii nadharia inawezekana ni kweli
SureMtamlaumu Lord Magwaya ila aliyetoa pass ndio kiazi, unatoaje pass inadunda dunda!!
Unatoa pasi usawa wa ugoko!Mtamlaumu Lord Magwaya ila aliyetoa pass ndio kiazi, unatoaje pass inadunda dunda!!
Yametimia
Saka ni mchezaji mkubwa???Ila ili timu limekuwa la kidwanz know 🤣 🤣🤣🤣
Hamad mchezaji mdogo km kidonge cha pilton ndio anategemewa🤣🤣🤣