Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bora tupate muda wa kupumzika kwanza, kama tu tungekuwa na wachezaji wa madaraja ya juu kidogo tungefunga zaidi ya mbili. Bado tunajitafuta Sanaa na inabidi iwe hivyo, najua players are struggling enough lakini lazima tukomae tumalize chini ya sita. Hata Kwa vitu vidogo basics wachezaji wanavikosa aidha Kwa kutojiamini au uwezo ndo umefikia hapo, hapa tungoje summer tunaweza tukawa na maingizo mazuri yenye ubora tunaoutaka, tujikongoje hivi hivi tutakuja kuingia tu kwenye mchezo taratibu misimu ya mbele, fans lazima tumsapoti huyu kocha.
 
20240225_212254.jpg
 
GGMU
mfumo mzuri, mentality ya wachezaji wetu inatia mashaka hasa wakicheza na timu ndogo
 
Casemiro
Rashford
Ericksen
Malacia,,,,,
Possibly wataondoka January hii, hopefully kutakuwa na replacements ,,,,
Diego Leon (almost done deal)
Collo wa PSG
Ederson n.k wanatajwa !
 
Vijana wa bwenyenye Sir Jim barobaro boys wapo uwanjani leo.

Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁 😁

My prediction
Arsenal 1 Vs Manchester United 3

Time
12:00 jioni
stadium 🏟️
Emirates

Hawa arteta tricks kids tutapiga kama ngoma.
 
Attachments

  • 1736676164695.jpg
    1736676164695.jpg
    332.4 KB · Views: 22
Vijana wa bwenyenye Sir Jim barobaro boys wapo uwanjani leo.

Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁 😁

My prediction
Arsenal 1 Vs Manchester United 3

Time
12:00 jioni
stadium 🏟️
Emirates

Hawa arteta tricks kids tutapiga kama ngoma.
Kama huyu kashatabiri mnashinda mi sina tena wasiwasi. Hata kikosi chenu siangalii
 
Vijana wa bwenyenye Sir Jim barobaro boys wapo uwanjani leo.

Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁 😁

My prediction
Arsenal 1 Vs Manchester United 3

Time
12:00 jioni
stadium 🏟️
Emirates

Hawa arteta tricks kids tutapiga kama ngoma.
Mpk hapa mshindi ameshajulika, ngoja niwahi kw kanji fasta.
 
Back
Top Bottom