fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 3,399
- 9,823
GGMU
Hii timu sio bure, tumelogwa.
Kuna kipindi ulikuwa unaona tatizo liko kwa beki ila kiungo na washambuliaji wako poa. Ukifix eneo la beki, kiungo kinaonekana dhaifu, ukimalizia kiungo kikae sawa forward inakuwa butu. Ukimaliza na hilo tatizo unakuta beki imechakaa balaa!
Sasa wameona haitoshi wameamua kuloga hadi viongozi na wamiliki wa timu kabisa. Bado mashabiki tu ili timu ipotee mazima.