Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,842
- 16,292
ETH alikuwa muhuni sana yule dingi


ETH ni kizazi cha kina Endruuu Chernge A.k.a Joka la Makengeza.Watoto wa mjini hawa hua hawalali njaa, pamoja na ufisadi wote ila mwisho wa msimu zikipigwa hesabu Utd ndio inakua namba moja Epl kwa maokoto, hivyo kuliko pesa yote ya faida kuliwa na watoto wa marehemu Gilaza na huyo tajiri mwembamba ni bora na hawa watoto wa mjini wajimegee tu kabisa fungu la 10.
Masingeli hizi pesa zinavyokuuma utafikiri zimechomolewa kwenye mfuko wako wa suruali (kweli masikini tunakuaga na roho za korosho sana) yaani pesa sio zako lakini zinakutesa.
Mambo yamebadilika siku hizi ulimwengu wote unaendeshwa kwa mifumo ya kibepari, mambo ya ujamaa na kujitegemea yalimalizikia kwenye Azimio la Arusha.