Sijajua kwa nini hii mikocha ya Man U inakuwa na kiburi kiasi hiki. Ubora wa Hujlund hasa mechi ya mwisho ni wa kumuanzishia benchi? Jinga kabisa nalo hili najua limekuja na litaondoka kabla ya Mwaka mpya..
Rashyy tayari huko !
Hili la kubadili sana 11 yake naona bado anawajaribu jaribu huku akihitaji matokeo,,,, ! Hojlund na Manuel hawakuwa wa kuanzia kwenye mbao Leo!
Sijajua kwa nini hii mikocha ya Man U inakuwa na kiburi kiasi hiki. Ubora wa Hujlund hasa mechi ya mwisho ni wa kumuanzishia benchi? Jinga kabisa nalo hili najua limekuja na litaondoka kabla ya Mwaka mpya..
Ten Hag maku kweli. Amad bonge la team player, mngese kama Garnacho akifika golini ni kujipigia tu hata kama kuna teammate yupo nafasi nzuri ya kufunga hatoi pasi.