Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jamaa wapo organized vibaya mno wanapress kwa pattern inaonekana kabisa Wana speed Yani dah safi sana. Nafurahi kuwaangalia kwa kweli hapa ndo naona kipara alikua tapeli ila Hawa Manchester kazi kocha anayo Tena kubwa sana. Wavivu ni wengi mno
Tatizo halikuwa kocha
 
Hilo nalijua inahitaji mda Kwa amorimi maana tuna wachezaji wengi walio wavivu sana na Kwa hii beki tatu yake anahitaji kubaki na prayer watakao fiti kwenye mfumo wake tu.
 
Kocha la ball huyu hapa anaenda zake Leicester City kukabidhiwa mikoba ya Steve Cooper.

"Jiwe walilolikataa waashi Linaenda kuwa jiwe kuu la pembeni. Neno hili limetoka kwa BWANA, Nalo ni ajabu machoni petu."

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…