Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,699
3.Kocha aliyekuwa anaisema vibaya Manchester United ni Lous Van Gal pia makocha wengine walikuwa wanaogopa muundo wa uongozi wa Manchester United ambao ulikuwa unawaza kukuza UCHUMI tu soka kwao sio kipaumbeleWakuu nisaidieni kunielewesha kimpira kidogo.
Kuhusu huyu kocha mpya wa manutd....
1. Manchester haijachukua muda Toka baada ya kumfukuza ten hag ,kumcheki jamaa na jamaa kuelewa ....
2. Huyu jamaa amekubali chap japo hatumfaham Sana na Hana jina kiivyo tofauti na wengi tulivyotarajia manutd ingechukua Makocha hao wakubwa labda
3. Amejiamini Nini kukubali Dili la mnutd maana watu saiv pale wanapaogopa ni kama Pana gundu .....lakini jamaa chap tu kakubali na mambo fresh swali ....Anajiamini Nini???[emoji16]
4. Nasikia alikua anawaniwa kama mrithi wa pep mara klopp mara Fc Barcelona pale kabla ya FLICK...., chelsea pia nk ila alikataa .......Swali : vipi mbona manutd walipomfata chap kakubali project ambayo Mimi naamini ni yamoto na ni kama Ina gundu sio poa ???????
Nitashukuru kwa Elimu.
Ni ndoto ya mreno yoyote kufanya kazi Manchester UnitedWakuu nisaidieni kunielewesha kimpira kidogo.
Kuhusu huyu kocha mpya wa manutd....
1. Manchester haijachukua muda Toka baada ya kumfukuza ten hag ,kumcheki jamaa na jamaa kuelewa ....
2. Huyu jamaa amekubali chap japo hatumfaham Sana na Hana jina kiivyo tofauti na wengi tulivyotarajia manutd ingechukua Makocha hao wakubwa labda
3. Amejiamini Nini kukubali Dili la mnutd maana watu saiv pale wanapaogopa ni kama Pana gundu .....lakini jamaa chap tu kakubali na mambo fresh swali ....Anajiamini Nini???[emoji16]
4. Nasikia alikua anawaniwa kama mrithi wa pep mara klopp mara Fc Barcelona pale kabla ya FLICK...., chelsea pia nk ila alikataa .......Swali : vipi mbona manutd walipomfata chap kakubali project ambayo Mimi naamini ni yamoto na ni kama Ina gundu sio poa ???????
Nitashukuru kwa Elimu.
Tulia wewe, kocha wa ineos huyo with suitable playing style achana na yule kenge, misimu 3 timu haina playing style.Man U wakipata kocha mpya sasa, hizi mbwembwe tumeshazizoea. Tunawapa muda tu mtarudi kwenye ‘ubora’ wenu.
Sawa Mkuu, tuko hapa.Tulia wewe, kocha wa ineos huyo with suitable playing style achana na yule kenge, misimu 3 timu haina playing style.
Wait and see madam mambo ni bul bul.Sawa Mkuu, tuko hapa.
Nyie mmebanduliwa hushangai unakuja kuleta uchawi huku.Timu ndogo zote zinajikaza. Nitashangaa mkibanduliwa kama wadogo wenzenu wamekomaa
Leo kubanduliwa timu kubwa imekua fashion, si umeiona YangaNyie mmebanduliwa hushangai unakuja kuleta uchawi huku.
Usitafute justification, Arsenal msimu huu mpo mdebwedo sana.Leo kubanduliwa timu kubwa imekua fashion, si umeiona Yanga

Arteta msimu wa Saba huu tumpe heshima yake jamaa kwanza msimu wa kwanza alikuta timu liko hovyo mno.Hayo makombe mawili jamaa atayaongelea sana.

Mnamkosea sana heshima jamaa, mashabiki wengi wa United alipotaka kuchza mfumo wake mlilalamika maana timu ilifungwa game mbili za mwanzo.Kilichomfelisha kipara ni kuachana na falsafa zake na kuanza kutaka mafanikio ya haraka hapo tu ndo alikosea.Akaanza kucheza papatu papatu ili ashinde makombe ya mbuzi.
Kupata playing style ni msimu mmoja tu inatosha sana hata kama hatuchukui kombe progress ionekane.