Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man U wana mahusiano mazuri na ya muda mrefu sana na SL namuona jamaa akitua OT
 
Huyu ni mwamba sana akipona hamtojuta kumsajili..tuongezeeni hata pauni mil. 10 wakuu🤣
 

RvN angepita na ule ule upepo wa Ole, baada ya hapo wale "legends" wenzake wa zamani watake apate mkataba mpya, matokeo yakimwendea kombo wamgeuke timu ianze safari nyingine,

Kiukweli Mwalimu mpya anastahili na kwangu ilikuwa kati ya Ruben Amorim ama Sebastian hoeneß sababu ya umri wao, Ruud tayari ana miaka 48 na hata akiwa PSV sio kwamba alikuwa "Elite" kihivyoo

Amorim Tayari kuna wachezaji wa kufit mfumo wake, 3~4~3, anatumia zaidi winga kwenye back 3 yake tofauti na Alonso anayetumia AM's wawili kwenye 3~4~2~1 ambao pia Amorim huutumia baadhi ya michezo.
Licha msimu huu kawa mbovu sana nadhani kwenye back 3 atakuwa na ulinzi wa kutosha na sehemu ndogo ya kuzuia,
Hojlund na Maguire wanaweza kuwa wanufaika wakubwa wa huu mfumo.
ETH amekosa baadhi ya vitu ila baadhi ya maamuzi kafanya yataisadia sana UTD kwenda mbele!
 
Huyu nae apewe mechi kumi, haeleweki tunamtimua.
Yaan tuwe kama Madrid au Chelsea hakuna kuvumlia failure
 
Erik ten Hag agreed with the signings of the two young strikers, but every summer he also wanted an experienced striker. After Harry Kane as a target last year, Ten Hag felt in 2024 that Danny Welbeck would be an excellent reinforcement. His name was seriously discussed internally.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…