Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Payback, mission completed.

Now we need to do this to Everton too...
 
Mata, needs an hat trick?

Nani is about to come in...68th min...
 
Bayern leo kapigwa na kitimu fulani...naona wanajiandaa kweli kweli...
 
Shikamoo Mr. Lindegaard, hivi ndivyo Cisse atakavyomwambia Lindegaard baada ya game...
 
Dah hawa wachezaji wa man u wana smaku miguuni...!!!
 
Pole dogo Adnan, inatokea wakati mwingine kwenye soka...73rd min...
 
Mimi kwa kweli ni mpenzi mkubwa wa Smalling...jamaa alikicheza kama CB, uwa hana masihara...akipangwa kama RB uwa ni kumwonea tu...
 
Nadhani huu ni wakati muafaka kwa cardif kumtimua solskjaer....wameshapigwa 2-0 mpaka saa hii.
 
Back
Top Bottom