Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dah Wamemla kichwa Jasusi letu !!! ila mchango wake tumeuona kama angebaki miezi miwili tu zaidi... Azam wangeanza kuangalia ni kwa namna gani wanaweza wakapata haki miliki ya kuonyesha Ligi Daraja la kwanza la Uingereza(Championship).
 
Kuna kipindi hali mbaya wakamuongezea mkataba.

Halafu kila kocha anayefananishwa na Arteta anafukuzwa.

Ole, De Zerbi, Chuck Norris,

Sasa mchukueni Fabian au yule Nagelsman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…