Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wazeee wazeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mnashuka daraja safari hii
Reporter; La professor 7+3hag wachezaji gani uliwahitaji, hawakuletea?

7+3hag; "haaland, lewandosk, mbape, Vini jr, yamal, Saka, musiala, Rodrigo, Raphinha, saliba, valverd, camavinga"

Reporter: [emoji23][emoji23]
 
Dah Wamemla kichwa Jasusi letu !!! ila mchango wake tumeuona kama angebaki miezi miwili tu zaidi... Azam wangeanza kuangalia ni kwa namna gani wanaweza wakapata haki miliki ya kuonyesha Ligi Daraja la kwanza la Uingereza(Championship).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…