Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii team kunahitajika overhaul, kocha na dead woods wote. Else wataendelea na poor performance muda wote
 
Naona WAN-BISSAKA katufunza mpira. Hakuna ujinga aliofanya huyu kocha kama kumuuza Bisaka na McTominay.
Na bado manyumbu nyie,kazi kubwabwaja midomo tu kwenye majukwaa ya watu lakini kushinda aahh,mnatepeta mpaka makalio
 
Dalot yeye na goli lililowazi kapiga nje, ten Hag ana matatizo yake ila pia wachezaji nao wana matatizo makubwa tu
 
Mwanitesa futiboli kilabu mna hali mbaya mno , mwaka huu msipo shuka daraja sijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…