mwanadodoma
JF-Expert Member
- Mar 12, 2024
- 434
- 876
Nyumbu mmeshakojolewa basi weekend yangu imeisha vema kabisa,wajaa laana nyieHujielewi
Ligi ipi?Rasmi tumeanza ligi sasa.
Katika watu sikupenda auzwe mmoja ni McTominay.Naona WAN-BISSAKA katufunza mpira. Hakuna ujinga aliofanya huyu kocha kama kumuuza Bisaka na McTominay.
Na bado manyumbu nyie,kazi kubwabwaja midomo tu kwenye majukwaa ya watu lakini kushinda aahh,mnatepeta mpaka makalioNaona WAN-BISSAKA katufunza mpira. Hakuna ujinga aliofanya huyu kocha kama kumuuza Bisaka na McTominay.
Sawasawq.umeona matokeo ya leo!!Hujielewi
Dah ila mwanetu 😅Kikosi cha watoto wa bwenyenye Sir Jim kimeshuka kwenda kuangamiza wale hammers.
Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁 😁
My prediction
West ham 1 vs Manchester United 4View attachment 3136458