Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ten Hag mweupe sana yaani, ukitaka kuamini subiri press yake hizo excusesπŸ˜ƒ
 
Ten Hag is a good manager. He just needs to improve his tactics, coaching, man management, defensive structure, press, substitutions and talent ID.
 
So we’re Β£650m and three years into Ten Hag’s time at the club. Our only wins of the season have come against Fulham, Barnsley and Southampton πŸ˜‚πŸ˜‚

If you support this bloke, you’re not a United fan.

My bad, you might be a fan but a plastic one
 
Kabla ya mechi Erik akasema inamuuma sana kuumiza kitu unachokipenda.

Alitoa kauli hiyo kwakua alikaa na FC Twente kwa muda mkubwa hivyo alidai ataipiga kipigo cha mbwa mwizi ila itamuuma sana
 
Kabla ya mechi Erik akasema inamuuma sana kuumiza kitu unachokipenda.

Alitoa kauli hiyo kwakua alikaa na FC Twente kwa muda mkubwa hivyo alidai ataipiga kipigo cha mbwa mwizi ila itamuuma sana
Tumeona kipigo cha mbwa koko
 
Mashabiki wa hii timu ukiwatafakari akili zao unakosa majibu. Yaani wanapata wapi ujasiri kuja kutupigia kelele kwenye jukwaa letu la Arsenal?
 
Mashabiki wa hii timu ukiwatafakari akili zao unakosa majibu. Yaani wanapata wapi ujasiri kuja kutupigia kelele kwenye jukwaa letu la Arsenal?
Ni kwa sababu mmekua wasindikizaji kwenye makombe ya maana miaka nenda rudi
 
πŸ₯ΉπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ₯ΉπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ₯ΉπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ₯ΉπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ₯ΉπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ₯ΉπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ₯Ή hili ndo kubwa jinga la kila wiki
 
Attachments

  • JamiiForums258363410.jpeg
    54.4 KB · Views: 18
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…