Hizo goli 2 zenyewe zimepatikana kibahati bahati tu, tena magoli yote 2 yametokana na mipira ya kona.
Yaani dakika 35 za mwanzo kabla ya hizo goli kupatikana timu inasikitisha, wachezaji hawafikishi pasi 5 wameshapoteza mpira, muda wote zinapigwa back passes tu timu haiwezi kusogea hata katikati ya uwanja. kwa mtu asiejua mpira ukimuonyesha hii mechi ya leo anaweza kujua hao Southampton ndio Man Utd yenyewe.
View attachment 3095680