Manchester United (Red Devils) | Special Thread

🚨 Winga tishio na hatari zaidi kuwahi kutokea Duniani anaekipiga katika klabu ya Manchester United raia wa Brazil πŸ‡§πŸ‡· Antony Dos Santos amebakiza mabao 857 kufikia rekodi ya gwiji wa soka duniani Cristiano Ronaldo ya kufunga mabao 900.


 
Baki mwenyewe huko kwenye Hilo timu la manyumbu Mimi nimeshahama usinifananishe na wengine Mimi nipo kivyangu au umechanganyikiwamjomba Mimi nikifanya kitu namaanisha Hilo timu Mimi sitorudi milele sababu sio baba yangu Wala mama yangu
 
walishaambiwaga na hamis ila wakaona mchizi anawaonea wivu
ona sasa jinsi wanavyodhalilika
kuna kipindi walishaanza kumfananisha kobe wao na
chezaji letu flani hivii
 
Hii tabia ya mchezaji kutaka kuuzwa alafu ana goma imeanza lini maana imetokea kwa Maguire na sasa Antony
 

1) Kesho iyo: urgate hana match fitness hivyo ataanzia benchi
2) tunapambana kumaliza top four (maana timu ya kushindania title hatuna)
3) the boys gave it all, we will come back stronger than ever
4) wakitaka wanifukuze ntaenda kushinda makombe kwingineko

Mnipe misimu mitatu niwajengee timu yenye ushindani
 
Sijui kwanini hapangwi 10 hag anafeli wapi? Game ya liverpool huyu jamaa ange shine au majeraha yanamwandama?
 
Antony ana changamoto gani?
Anthony anaweza kucheza mbele ya Amad, garnacho ? Achilia mbali rashford ? Hawezi hata kupiga chenga kuwatoka wachezaji wawili ? Huyu level yake ni mid table team
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…