Mna visingizio sana linapokuja suala la kumtetea Arteta. Wakisema uweke wazi ushahidi wa haya madai yako nina imani utaishia matamshi ya kukisia tu.
Kidogo nilianza kukuunga mkono uliposema ameshindwa na Pep (kwa kigezo cha ubora) ila ulivyochomekea suala la pesa (utadhani ninyi mnasajili bure) na match fixing nikajua unaongelea ushabiki zaidi.
Ifike mahali tukubali kwa umoja wetu kuwa Pep ameset standard kubwa ya alama ili uweze kuwa bingwa wa EPL. Kwa alama zenu za misimu miwili iliyopita bila uwepo wake, Arsenal mngalikuwa back to back champions ila ndio hivyo jamaa anatunyanyasa collectively.
Hadi sasa bado hakuna kocha EPL wa kumchallenge Pep convincingly, tunabahatisha tu, Ngoja tumpe Slot muda ila sio arteta wenu wala Ten hag wetu.