Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hua mnataka wakina Joshua na Garnacho waanze πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Flano na kina ARV wapo wapi....wanaridhika kabisa na hii Hali kweli??...Sasa kama home kwako unatunguliwa hivi ukienda huko kwa watu itakuwaje Sasa...niliwaasa wajitahidi huu msimu Ili tusiwaseme sana lakini wapi....mechi ya tatu ya msimu unacheza kama unakaribia kumaliza ligi yaani umechoka kabisa...inasikitisha sana
 
Mmeshakula chuma 3 huko
 
Mi nilishawaambia hawagusi tena ile nafasi ya kwanza
 
Nina wasiwasi hawa nyumbu huenda Carrington wameigeuza kua nightclub badala ya uwanja wa mazoezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…