Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hata yeye mwenyewe anashalijua hilo kilicho baki ni kuzuga zuga tu hapo na kuchuma hela zake maana wakimvunjia mkataba utabidi wamlipe hela nyingi so
it's wise of a business man
Sidhani kama ana kitu anaweza kufanya huyu jamaa, hata Ole anamkimbiza.

Timu inacheza kizembe na kivivu sana! Pale kati leo ndio pako hoi bin taaban, wanaacha nafasi, wanapoteza mipira hovyo. Unatamani Casemiro atoke ila ukiangalia bench unasema abaki tu.
 
simuoni zirkzee kama anaweza kumuweka bechi hojlund
Yule sio Zikzee ni fellaini mtupu🀠🀠...wachezaji wa YouTube Hawa shida sana...na yule De Ligt sijui ni mbegu ya wapi ile....magwaya ana afadhali....tunasubiri tumuone hyo Ugarte naye tujue kama mmepigwa au ana afadhali...kiufupi majirani mna Hali mbaya sana
 
Sasa mchezaji alikua anakaa benchi unatarajia aje kufanya nini πŸ˜…
 
Hua mnataka wakina Joshua na Garnacho waanze πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Flano na kina ARV wapo wapi....wanaridhika kabisa na hii Hali kweli??...Sasa kama home kwako unatunguliwa hivi ukienda huko kwa watu itakuwaje Sasa...niliwaasa wajitahidi huu msimu Ili tusiwaseme sana lakini wapi....mechi ya tatu ya msimu unacheza kama unakaribia kumaliza ligi yaani umechoka kabisa...inasikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…