Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ukiondoa shida zoteeee za United mashabiki pia shida ipo
 
Leo ni Leo asie na mwana abebe jiwe.

Watoto wa bwenyenye Sir Jim barobaro wanashuka leo kwenda kumfunza adabu mzee kipara.

Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁 😁
weweeeeeh

My prediction
Manchester United 2 vs Watoto wa mzee kipara Big head 1

⌚12:00 jioni
🏟️Old Trafford

Watapigwa sana wale vijana wa mzee kipara Big head.
 
Sitachoka kusema tena na tena kwamba Mainoo sio wa kikosi wa cha kwanza
 
Bila beki kisiki Maguire kuanza tunatoka vichwa chini tena na leo
 
Binafsi naona timu sasa inaenda kukamilika hapa anatakiwa Sancho asepe na Rashford tupate watu wa maana kule mbele.
Manchester yakubadilika huwa mnanishangaza sana mashabiki ylwa man u😅😅😄🥲
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…