Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wiki ijayo mnakutana na Anne Slot ball🤠🤠...majirani mna kibarua kizito sana....TAfuteni wachezaji wa kueleweka...
 
Anausoma upepo, soon atatia maguu humu jf. Nawaambia mtaliona hili jukwaa chungu
 
Hamis yupo twitter, muandiko wa yule jamaa wa twitter na jina lake vinashabihiana na muandiko wa hamis wa humu ndani.
Sasa Kitumieni kipindi hiki kunenepa, very soon atarudi hili jukwaa litakua lake
 
Mshaanza kuongea lugha tofauti...
Sancho, Antony, Ganacho, ni wachezaji wakuanza na si kuanzia bench.
Kiburi na ukaidi wa 10Hag ndio unaowagharimu.
Acha mkungutwe tu....
Huyo 10hag mwenyewe kajaza masalia ya wachezaji waliotoka ajax.
1. Onana
2. De lit
3 martinez
4. Zerkeez
5. Antony
6. Ericksen
Anafikiri hii pl ni sawa na ligi ya nethaland!!!
Mpigwe tu. No way
 
Baba ubaya anachokifanya ndio sisi tunapenda, so far ndio manager wangu Bora wa wiki hii

Bruno false 9

De light ndio sub ya magwaya. inachekesha Sana

Rashford anaanza starting 11 ganarcho yupo bench

Mount eti ni mchezaji wa man u, tena kapendekzwa na huyo huyo baba ubaya

Maino Ni mchezaji tegemezi wa man u. It's disgracing


Baba ubaya piga kazi, washabiki wa arsenal tupo nyuma yako
 
Mi five again.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…