Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kipindi cha pili Mount ataubonda mwingi sana 🤠🤠🤠...mkishindwa kuwafunga Hawa Brighton leo kwa wanavyocheza hivi msahau kushinda mechi yyte dhidi ya top six wale...hii sio Brighton tuliyoizoea...ila nyny ndo mmezidi kuwa malofa....yaani mnarukaruka tu....badilikeni jmni tumechoka kuwacheka
 
Huyu mzee sasa hatokuwa na kisingizio tena anatakiwa ashtuke sasa ni vile ana bahati yakuokoteza kombe mwisho wa msimu inakuwa ni advantage yake ya kuendelea bila hivo top management wanamlia timing tu maana dah kuna vitu havielezeki anavifanya
Mitano tena
 
Mi5 tena.
 
Huyu mjinga TEN HAG ana tabia ya kumpumzisha AMAD na kumuacha RASHFORD anaruka ruka kule. Ngoja tuone kama leo atamtoa tena.
kaanza na kilio cha wengi Mount .... huyu bana mi hata sielewi ilikuwaje akaja united

kaingia zirkzee kidogo hapo tuna 3 goals possibilities
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…