Tulia wewe Arsenyau, karibu ushuhudie kandanda safi toka kwa watoto wa bwanyenye Jim Ractliff(JR) chini ya kocha nguli kabisa wa mpira pale barani Europa Sir Eric Ten Hag ukipenda muite Baba ubaya.
Kwa akili zako za ndondo cup wewe
ushawahi kuwaza hata siku moja kua captain Bruno Fernandes anaweza kucheza false 9 na mwisho wa msimu akabeba kiatu chake cha dhahabu?
Haya tulia uone miujiza ya mpira kutoka kwa kocha la mpira duniani