Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dah nilitoka kuangalia mechi ya Madrid na Atlanta nika enjoy jinsi ya big team inacheza kama big team

sasa naangalia big team hapa inayozidiwa na underdog ni maumivu sijui kuna nn na hii timu japo man utd atashinda ila dah
Mainoo atalanta hata kikosi cha pili hana namba
 
kocha anawachezeshaje mount na bruno kwa pamoja tena njee ya nafas zao za ufanisi kamuweka bruno false 9 na mount kama attack midfielder kinachotokea hakuna mtu creative wakuset rhythm ya mashambulizi mbele

toa mount Rudisha bruno chini achezeshe team kama CAM mbele mjaze zirkzee au rashford upande wa rashford weka dogo garnacho na kama anataka mount aendelee ampa majukumu ya 8 bila hivo team ipo shagala bagala tu
 
Kocha hadi leo ana jaribu mifumo .season nzima
 
Katika mechi kubwa zinazo endelea sasa hivi.. Ni man u pekee hajaona lango la mwenzake
 
Muda mwingine makocha sijui wanawaza nini
 
Mnaruka ruka tu utafikiri bado mko kwenye pres season....!!


Kama huu ndio haina ya mpira mtakaokuwa mna ucheza, basi jiandaeni kumaliza msimu mkiwa nafasi ya 9 wapuuzi nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…