Cash Money Forever
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 685
- 1,254
Wazee tuongezeni angalau pesa kidogo kwa Mount mashine ya Kazi, acheni ubahili basiYani hili limekuwa Tatizo kubwa sana kwa UTD Miaka ya Karibuni!
Msimu ulopita UTD ina Magoli 9 tu yanayotokana na "Set Pieces" Arsenal anaongoza akiwa na Magoli 20!
Haya mara nyingi ni Mipango na yanaweza amua Mechi ngumu! UTD Miaka ya Nyuma Game inakuwa Ngumu Kona/Faulu Giggs unaona Vidic kaibuka 1 ~ 0 Game over!
Mount na Ericksen ni wapigaji Bora sana wa Mipira ilokufa UTD Changamoto ni wao kuwa na Uhakika wa Namba Jukumu linamwangukia Bruno. Game ya City Andreas Georgson {Mwalimu Mpya wa Set Piece} alikuwa na Mzuka zikitokea Kona na Fouls anasimama, Ila kuna Mabadiliko namna timu inajipanga zuia na Shambulia set Piece, Msimu huu namba ya Magoli kwenye Set Piece itapanda.
Yani kikosi chetu chepesiii. Hapa mbio za ubingwa tusahauOFFICIAL lineup vs Fulham:
Onana
Dalot
Maguire
Martinez
Mazraoui
Mount
Casemiro
Mainoo
Amad
Bruno
Rashford
SIoni sabb ya kutokufungwakikosi cha watu wazima twende naloView attachment 3072052
Mabingwa gani na kocha mseng kama huyu. Yaani pamoja na ubora wote huu GARNACHO anaanza kusugua benchi na RASHFORD anaanza!!Bado nusu saa tu mabingwa wapya wa epl waingie uwanjani
next RashfordRaphinha akija pale OT itakua poa au hana nafasi?
Huyu kocha hajielewiMabingwa gani na kocha mseng kama huyu. Yaani pamoja na ubora wote huu GARNACHO anaanza kusugua benchi na RASHFORD anaanza!!
Wachezaji wa kawaidakwa huu mpira nauona ni ule ule wa msimu uliopita tukichez hivi na big 6 kazi ipo ni kama ten hag hanaga tactics au wachezaji ni wakawaida
Dah nilitoka kuangalia mechi ya Madrid na Atlanta nika enjoy jinsi ya big team inacheza kama big teamWachezaji wa kawaida
Mtu kama Mainoo sio wa kutegemea kikosi cha kwanza
Chelsea sasa hivi kila msimu wanaanza upyaaa πKheri chelsea wana sajiri kama hawana kichwa ..nyumbu na mababu yale yale imagine hadi evans bado yupo π π