Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nyumbu nu nyumbu tu, unaandika kinafiki tu, eet msimu mgumuu kwa arsenal, oya tusha toka uko na palipo baki Ni kuvibeba

Sent from my itel P32 using JamiiForums mobile app
 
Nyumbu nu nyumbu tu, unaandika kinafiki tu, eet msimu mgumuu kwa arsenal, oya tusha toka uko na palipo baki Ni kuvibeba

Sent from my itel P32 using JamiiForums mobile app

Najua unataka Zungumza Mpira Kumbe unaweka Kejeli!

Sasa Chatta ARSENAL Ina Mafanikio yapi unayosema Mmeshatoka Huko? Nionyeshe Kombe Moja zaidi ya MAN UTD unaowaita Nyumbu kwa Miaka 6 ya ARTETA.
Hakunaga Mshindi wa Pili, Wewe ni Msindikizaji {Runners Up}

Una UCL, EPL, CARABAO, FA, + International Games, Arsenal ni moja ya Timu ilotumia Kikosi kimoja kwa Muda Mrefu, Msimu juzi aliumia SALIBA timu ikabadlika kabisa, Swali Akiumia SAKA + SALIBA Mbadala wa Ubora kama Huo Mpo naye?

Chatta g Jitahidi kuwaza Bila kuweka Mahaba kwenye Mpira, hamis77 Huwa anawaongopea ndo namna Mnaipenda Sikia, Usiwe Biased Mpira ni Mchezo wa wazi na Una kikosi finyu, Sub ya CF bado ni Nketiah Kufikia sasa!
 
Nyumbu nu nyumbu tu, unaandika kinafiki tu, eet msimu mgumuu kwa arsenal, oya tusha toka uko na palipo baki Ni kuvibeba

Sent from my itel P32 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Labda mbebe Mimba, tena msimu huu mkijitahidi sana mtashika nafasi ya 4.
Tafuteni kocha wa kueleweka, kwa huyo Tetea wenu kila msimu hakuna mtachopata zaidi ya Emirates Cup.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hawa vijana Masingeli aliwaharibu sana kwa zile false hopes za kinafki, ilifikia kipindi Masingile aliwaaminisha kua Arsenyo ni bora kuliko Madrid na misukule yote ikaamini hivyo.
Sometimes hua naamini mashabiki wengi wa hii timu psychologically hawako sawa.
 

Baadhi ya mashabiki wa asernal ni wajinga sana, uwa nawashangaa wanavyoidharau Man Utd utafikiri wametupita mafanikio au sijui ni wadogo kiumri

Mara ya mwisho asernal kuchukua EPL ni msimu wa 2003/2004 unbeaten ishapita miaka 20 mpaka sasa, wakati Manchester United mara ya mwisho 2012/2013 ishapita miaka 10 mpaka sasa

Na usishangae UTD ikaja imarika ikabeba EPL kabla yao, tuombe uhai na afya

Maana asernal walipaswa wabebe EPL last season, mpaka January walikua wamempita City points 15, sasa kama walishindwa hapa wataweza lini tena?

ETG ana misimu mibaya ila ana cha kuonyesha, Carling cup moja na FA moja, na hiki ndio kitu INEOS iliyowapelekea kumuongezea mkataba

Sijui Arteta ana chakuonyesha nini ktk miaka yake 8 pale Emirates
 
Ulianza vizuri Ila umeharibu mwishoni, kwakua na weww umekalilishwa.

Hamis ndio Nani?

Nae si shabiki tu kama ulivyo wewe.

Kwani yeye ndie anae angalia mpira peke ak? Au yeye ndie anaeona maendeleo ya arsenal na sisi hatuoni?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Labda mbebe Mimba, tena msimu huu mkijitahidi sana mtashika nafasi ya 4.
Tafuteni kocha wa kueleweka, kwa huyo Tetea wenu kila msimu hakuna mtachopata zaidi ya Emirates Cup.
Haya tuambie kocha wa kueleweka nani kwa sasa, unashauri tumchukue??
 
Wee ndie kubwa la manyumbu, unae aminisha watu wa unyumbuni kua tunamskiliza hamis.
 
One Day To Go 💪🏿👌🏾 Maaaaan Can't Wait To See De Ligt Light Up The League ,He's Here,And He's Perfect 💪🏿💪🏿💪🏿 Vichwa Pale Kwa Set_Piece Zitakuwa Zinaliaaa Kinyamaaaa ,Beast Mode Activated,Him And Licha Apo Katikati Aiiiii Buanaaaaa Wanatucheleweshaaaa ,kiburi ni constant #KiburiFC🤣🤣🤣
 

Attachments

  • 1723293709126.jpg
    438.3 KB · Views: 24
Rejected
 
Vichwa Pale Kwa Set_Piece

Yani hili limekuwa Tatizo kubwa sana kwa UTD Miaka ya Karibuni!
Msimu ulopita UTD ina Magoli 9 tu yanayotokana na "Set Pieces" Arsenal anaongoza akiwa na Magoli 20!

Haya mara nyingi ni Mipango na yanaweza amua Mechi ngumu! UTD Miaka ya Nyuma Game inakuwa Ngumu Kona/Faulu Giggs unaona Vidic kaibuka 1 ~ 0 Game over!

Mount na Ericksen ni wapigaji Bora sana wa Mipira ilokufa UTD Changamoto ni wao kuwa na Uhakika wa Namba Jukumu linamwangukia Bruno. Game ya City Andreas Georgson {Mwalimu Mpya wa Set Piece} alikuwa na Mzuka zikitokea Kona na Fouls anasimama, Ila kuna Mabadiliko namna timu inajipanga zuia na Shambulia set Piece, Msimu huu namba ya Magoli kwenye Set Piece itapanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…