Manchester United (Red Devils) | Special Thread

𝐋𝐢𝐬𝐚𝐧𝐝𝐫𝐨 𝐌𝐚𝐫𝐭𝐢𝐧𝐞𝐳 picking 𝐄𝐫𝐢𝐤 𝐭𝐞𝐧 𝐇𝐚𝐠 up at full time


#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃

#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨

#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏

#𝙂𝙂𝙈𝙐


man utd |
 
𝐃𝐚𝐯𝐢𝐝 𝐝𝐞 𝐆𝐞𝐚 𝐤𝐧𝐨𝐰𝐬
.

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃

#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨

#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏

#𝙂𝙂𝙈𝙐


man utd |
 
𝐊𝐨𝐛𝐛𝐢𝐞 𝐌𝐚𝐢𝐧𝐨𝐨 is the first player born in the 𝟐𝟏𝐬𝐭 𝐜𝐞𝐧𝐭𝐮𝐫𝐲 to score a goal in the 𝐅𝐀 𝐂𝐮𝐩 𝐟𝐢𝐧𝐚𝐥


#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃

#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨

#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏

#𝙂𝙂𝙈𝙐


man utd |
 
| 𝐏𝐚𝐮𝐥 𝐒𝐜𝐡𝐨𝐥𝐞𝐬 on Sofyan 𝐀𝐦𝐫𝐚𝐛𝐚𝐭:

"He played like a prime 𝐆𝐚𝐭𝐮𝐬𝐬𝐨"

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃

#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨

#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏

#𝙂𝙂𝙈𝙐


man utd |
 

Attachments

  • IMG_20240525_233241_047.jpg
    124 KB · Views: 7
Chelsea ndio team pekee iliyoingia Europa League na kutoka bila kucheza match yoyote.
 
Garnacho
 
Tumesemwa sana, tumetukanwa sana,tumeshambuliwa sana lakini sababu ni kunyanyua kwapa asante angalau msimu unaisha na tabasamu. Asenyeto wapiiiii....mmmmmmmmmaaaaeeee
Kwakweli
hawa madogo uongozi uhakikishe hawaendi mahali. Hii ndio future
 
Hilo kombe hatukuliunda sisi, UEFA wenyewe walilitengeneza na sisi tumelishinda. Kwa sasa limeingiza UEFA cup ambalo ndiyo nyie mnaenda kupambania kwa kudra za kushinda FA Cup, baada ya kumaliza nafasi ya 8 mkiwa nyuma ya mabingwa kwa pointi sijui hamsini na ngapi huko, huku sisi tukiingia UCL baada ya kupambania ubingwa na kuukosa kwa point 2 tu.
 
Broo hatukatai haohao walioanzisha hilo kombe la Uefa Cup winners Cup ndio haohao waliolifuta, na wakafuta historia nzima ya hilo kombe pamoja na kupiga marufuku lisihusishwe na kombe lolote la Europe.
Hili kombe lilipigwa marufuku kama vile ilivyopigwa marufuku Slaves Trade mwaka 1087.
Timu zote zilizoshiriki na kushinda hilo kombe zilikubaliana kua hilo kombe ni sawa na kuyanajisi mashindano ya ulaya.
  • Chelsea alishinda hilo kombe mara 2 lakini hauwezi kumkuta akijihusisha wala kujinasibisha na hilo kombe kwa kua anajua lilishasha pigwa marufuku.
  • Mancity alishashinda mara moja na hakuna shabiki yoyote wa City alishawahi kujinasibisha nalo.
  • Everton ameshinda lakini huwezi kukuta mashabiki wake wanaliongelea.
  • Man Utd tumeshinda mara moja ila ni najisi kwa shabiki yoyote wa Utd kulitaja hilo kombe.
  • Arsenyau pekee ndio kila siku lazima uwasikie wanalizungumzia na kujifaharisha nalo huku wakijua wazi kabisa hilo kombe ni haramu kwa nchi zote kama ilivyo haramu madawa ya kulevya.
 
Hii miguu ya maino Ni kama ya Mzee WA miaka 60 ,ila dogo Anamiaka et 19 ..
 

Attachments

  • 20240526_112416.jpg
    93.6 KB · Views: 7
Sawa gigy money
Mim mwenyewe najua ,wachezaji wengi hata Ronaldo kucha hazipo normal kutokana na kuvaa viatu muda wote +nginjanginjaa za uwanjan ..,.....

Wana derseve pesa nyingi Sana Hawa watu ....

Mambo ya kucheza sijui club ,passion Ni utapeli
 
Mim mwenyewe najua ,wachezaji wengi hata Ronaldo kucha hazipo normal kutokana na kuvaa viatu muda wote +nginjanginjaa za uwanjan ..,.....

Wana derseve pesa nyingi Sana Hawa watu ....

Mambo ya kucheza sijui club ,passion Ni utapeli
Mpira una Umaarufu Uingereza sababu ya "Passion" unaunganisha Wengi. Ni rahisi sana kukuta ligi za Ridhaa "National League" zina Mashabiki wengi Uwanjani kuliko Baadhi ya Ligi kubwa Nje ya EPL.

UTD Baada ya 4~0 na Palace Mashabiki wake wanaimba na Kuishangilia timu Hiyo Tunaita PASSION na Ilibadili Akili za Wachezaji. UTD ina Motto "Youth, Courage & Success" Watoto wengi wa ACADEMY wana ndoto za Kuiwakilisha Timu ilowalea.

CITY huwezi ona Mchezaji Mwingine anajitoa zaidi ya Uwezo wake Mambo yakiwa Magumu Nje ya FODEN. Ni Rahisi sana Kumpata Mchezaji akakwambia Ana ndoto za Kucheza UTD, LIVER, ARSENAL ila Sio CITY na Ndo Maana unachukulia kawaida uzito wa PASSION!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…