Ukweli lazima usemwe.
Majeruhi yalitumaliza sana hasa sehemu ya walinzi wa kati.
Nina uhakika kama Varane,Matinez wangekuwa fit hakika top 4 ingetuhusu.
Tulipata shida sana upande wa walinzi wa kushoto Shaw na dogo mdachi jina limenitoka walikuwa majeruhi kwa kipindi kirefu sana.
Upande wa mshambuliaji wa kati Anthony msimu huu sijui kama alifikisha mechi 3.Muda wote alikuwa majeruhi.
Siamini katika kimtimua Mwl,kwasababu za kutofanya vizuri zipo wazi kabisa.
Msimu ujao tutatakiwa kusajili Mshambuliaji wa kati,kiungo mkabaji [Mlinzi],Walinzi wawili wa kati,Mlinzi kushoto na kulia.