Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Leo mashabiki wenu watabaki nyumbani au watakuja uwanjani halafu sisi tuje tuwafukuze half time?
 
Ninyi pimbi ,leo kazeni tako mtoe draw Tu , inatosha kuwanyamazisha vinywa hawa mburukenge wa london Arsenyetoz.
Arsenyetoz wakibeba ndoo ya Epl tutateseka sana ,mtaani hakutakalika .
Ni fedheha na matusi Arsenyetoz kubeba ndoo ya Epl .
Na walivyo na kidomo domo
Msituangushe
 
Kikosi Cha Bwenyenye Sir Jim kinashuka kuwapea kichapo ya nguvu wale Wenger orphans watajuta sana wale.

Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha 😁😁😁

My prediction

Manchester United 3 vs Arsenal 1

twende nalo 💪
 
Hiki kikosi cha leo hiyo defense na midfield inaogopesha. Angalau tunajaribu kitu kipya leo huenda vijana wa EtH wakatushangaza.
 
Flano ameshanusa hatari huwezi kumuona hapa, ila ww umeona ukaze ubongo[emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…