Mkuu, back line ina Casemiro kama no 5, jana kaweka record ya kuzungushwa mara 8 in a single game, ina evans anasogelea miaka 40, una Wan Bissaka hajui hata ku turn yeye ni ma kwanja tu, una Dalot leo mzuri kesho anakushangaza, mbele yao una Ericksen kanenepeana kama Mwijaku, unamlaumu Onana? Mpe Pep Onana na footwork yake uone mabalaa.
Kuna watu wa kulaumu kwanza kabla hujamfikia Onana.