Manchester United (Red Devils) | Special Thread

RW/RWF/RM, Miaka ya karibuni imekuwa nafasi Muhimu sana kwenye timu hasa zinazoshambulia na Wide Players na Inverted Wingers. Arsenal wamekuja pata Balance Pitia SAKA, City imekuwa na Mahrez, Bernado, Sasa wanamtumia FODEN, Liver wana Salah,

Nje ya Hizi timu TOP 3 kuna majina Mengi. Forgotten Al Watani Selikavu na M Z A N Z I B A R I Wote naona Mpo na Mashaka na OLISSE.
Chaguo sahihi kwa UTD huu Upande linaweza kuwa lipi ili Kupata Balance?
 
Chaguo sahihi litategemea na namna mwalimu anavyotaka kucheza.

Ten Hag anatumia wingers wake kama ball carriers angalia anavyocheza Rashford msimu huu.

Kama mwalimu anataka kuendelea kucheza anavyocheza Olise siyo chaguo sahihi Olise hatanui uwanja, hapigi cross kama Rashford tu.

Bora aendelee kumuamini Garnacho na Amad upande huo wa kulia aimarishe maeneo mengine hasa fullbacks, Centerbacks, na midfield halafu atafute striker mwingine.

Kutafuta winga mwingine wa kulia ni kupoteza muda mwingine.
 
Nangojea uamuzi wa Greenwood nadhani kama akilud hiyo hela ielekezwe sehemu nyingine
 
I seconded
 
Kwa vyovyote itakavyokuwa juu ya mustakabali wa mwalimu, INEOS hawapaswi kuwa na huruma dhidi ya wachezaji wote wanaoishiwa mikataba yao, ni wachache sana wanaostahili kupewa mkataba mpya. Ile sera ya Glazer ya kuwapa mikataba wachezaji kwa kutarajia kupandisha thamani za wachezaji ni ya kuachana nayo, nakumbuka wachezaji mfano wa phil jones, lingard, bailly, martial wote hao walipewa mikataba licha ya sisi tuliopo huku mabwepande kuuchukulia uamuzi huo kuwa ni wa ovyo, cha ajabu wazungu waliona ni uamuzi sahihi, kiko wapiii!!!!.
 
Yan mnatafutiza furaha kwa mbinde sana... Polen nyie endeleeni na kombe lenu la 3 phase na inverted midfielder
sisi hatutafuti furaha bali furaha ndo inakuja yenyewe kwetu
kati aliyefungwa 4 bila na watoto, na aliyempiga mtoto huyohuyo goli za kutosha
nani mwenye huzuni hapo
sijui kama umenielewa kiongozi
 
Mtugee points za mezani

Au

Tuje kupiga kwenye mshono?View attachment 2983440
Una maanisha, ukichukua average game ya dk 100 (ma dk ya nyongeza ni mengi siku hizi) Saliba anapitwa mara moja kwa mechi 5? VVD anapitwa mara moja kwa mechi 15? Ni shida aisee.

Ila Casemiro likuwa anaongoza ligi kwa kupitwa tangu akiwa kati, sasa wamempeleka beki. Huyu ndiye anakuja kukutana na akina Trossard na Saka? Akitoka Trossard anaingia Martinelli? Akitoka Kai anaingia Jesus? Itakuwaje sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…