Always. Peace first.Je tunaweza kuwa na matani bila kuwa na matusi?
Naendelea kusisitiza tafuteni kipa wa kuelewekaTafuteni kipa wa kueleweka
Sahihi kabisa. Ndiyo maana si vizuri kuitana majina ya kimatusi, lakini majina ya kiutani ni sawa. Ndiyo maana tunakubali kuitwa Asenyani na nyie tunawaita Chelkenge. Maneno na matusi ya nguoni si vizuri kutumia.Always. Peace first.
Binafsi naamini Eze ana kitu ila Olise sina cha kumtetea😀Crystal Palace hakuna mchezaji wa timu kubwa ukiwasajili imekula kwako.
Olise na Eze ni wachezaji wa kawaida sana angalia maamuzi yao mengi uwanjani ni faulty.
Na tukienda hovyo tutapigwa mnoOlise na Anthony hawana tofauti yoyote kiuchezaji.
Daah 😂Erik ten Hag: "We weren't good enough today, but Garnacho's goal at Arsenal back in September was not offside."View attachment 2983083
Okay kwenye kabati mtaeka nini msimu huu mkitoa sinia na 3 phase😂😂😂Sisi hatushindi kibahati....tunakudunda na mpira unachezewa...hata kipara kakiri...Sasa mjiandae
Na matofali ya kuchoma usije na matokeo yako😃tutawashangazaKila siku tunaambiwa tusiende uwanjani na matokeo. Ila kwa hii Man Utd, ni ngumu kwa shabiki kutoenda na matokeo aisee. Sisi tunaiona wiki kwa nunge iko nje nje kabisa pale matofali ya kuchoma.
Yan huyu Varane wa pili atafunge sisi😃😂Picha za tarehe 12 Mei 2024 zimeanza kuvuja
View attachment 2983178
Hushindi hyo gameShida ya Arteta ana karoho fulani ka huruma...huwa akishaona mkono umetimia anaanza kutoa watu...ila j2 inatakiwa aache watu mpk mwsho ili tutoe demonstration moja matata sana
Sasa Wenger Orphans mnaongea nini😂huu msimu mlichotupita nq mpira wenu mzuri ni sinia tuu na top four ..
Ninachoamini tunawazima rasmi kama Liverpool 😂😂😂kipala achukue la nne
Ntakutafuta Gabriel Heinze 🤠🤠...msidhani Chelsea...West Ham kina Burnley mwenzie Sheffield kilichowatokea ni bahati mbaya....mjiandae vizuri...hatutaki lawama siku hyoHushindi hyo game
Nipo hapahapa mkuu siku hyo sina hakika kama utamaliza mpira dakika 90Ntakutafuta Gabriel Heinze 🤠🤠...msidhani Chelsea...West Ham kina Burnley mwenzie Sheffield kilichowatokea ni bahati mbaya....mjiandae vizuri...hatutaki lawama siku hyo