Hmu Flano hutamuona kabisa na yale mapichapicha yake....wacha wachoshwe leo ili siku hyo ikifika sisi tuje kupiga marungu ya kichwa kabisa....hawa kwa wanavyocheza kono la nyani linawahusu siku hyo🤠🤠
Jamani manyumbu na sisi tunataka kuwapiga si chini ya 4, msitubanie. Si mnaona jinsi dada zenu mamacita wanavyotembeza 5g ili kufukia GD yetu? Msiwaachie watupite kizembe jamani.