Chuchunge Fc wakishinda mechi mbili, tatu wanakua na midomo kwelikweli halafu wakigongwa game moja wanapotea wote.
Walivyogongwa na Villa walitulizana kama vile wapo kwenye eda
wamebahatisha mechi mbili false hope ya ubingwa imewarudia yaani hatupumui, Tukisha wagonga OT ndio mtapotea moja kwa moja mpaka msimu ujao dirisha la usajili likifunguliwa
View attachment 2978216